Umri unaofaa kuoa
Date: April 17, 2022
Author: SW - Melkisedeck Shine
Kuoana maana yake ni kuwajibika kwa maisha yako na mke au mume wako. Mara nyingi kuoana kunaambatana na kuzaa watoto. Ni vigumu sana kutambua umri sahihi wa mtu kuoa au kuolewa, kwa sababu watu wanatofautiana katika kuamua ni lini yuko tayari kujitegemea na kuwajibika kumtunza mtu mwingine. Wengine wanakuwa tayari katika umri wa miaka 20 na wengine katika umri mkubwa zaidi.
Kwa vile kuoa au kuolewa mara nyingi kunahusishwa na mtu kuwa mzazi, kuna vipengele vya kiafya vinavyofaa kuzingatia. Kwa mfano siyo vema msichana kuzaa kabla hajafikisha umri wa miaka 18, kwa sababu mwili wake hauko tayari kuzaa mtoto. Nyonga i nakuwa bado ni nyembamba, viungo vya uzazi ni vidogo na havijakomaa kiasi ambacho vinaweza kuharibika wakati wa kuzaa mtoto.
Kwa hiyo basi unashauriwa kusubiri i kuoana mpaka hapo utakapokuwa umejenga msingi i mzuri i wa maisha yako. Kabla hujawa tayari kuoa au kuolewa unaweza kuwa na urafiki na yule aliye mtarajiwa wake ili taratibu muweze kuelewana tabia, yale anayoyapenda na asiyoyapenda na kujenga msingi mzuri wa uhusiano.
Please log in or register to leave a comment or reply.
Related Posts
Karibu kwenye makala hii kuhusu swali la iwapo inawezekana kujisikia huru kuelezea tamaa zako za ...
Read More
Habari wapendwa wasomaji, leo tutaangazia swali muhimu sana ambalo wapenzi wengi hujiuliza. Je, k...
Read More
Virusi vya UKIMWI kwa kiasi kikubwa vinaenea kwa njia ya kujamii ana. Kama mtu ana wapenzi wengi ...
Read More
Hii ni kweli kabisa. Watu wanaoishi na ualbino ni watu wa
kawaida kama binadamu wengine wote...
Read More
Serikali zote na mashirika ya kimataifa wameweka mdhamana
na kukubali kulinda haki za binada...
Read More
Kama una nia ya kuimarisha uhusiano wako na msichana, ni muhimu kuwa na mawasiliano mazuri ya sim...
Read More
Jinsi ya Kuanzisha Mazungumzo ya Kwanza kuhusu Ngono na Mpenzi Wangu πΌ
Karibu sana kwen...
Read More
Karibu ndugu yangu kwenye makala hii ambao inazungumzia njia mbalimbali ambazo utaweza kutumia ku...
Read More
Njia za Kuwa na Mazungumzo ya Kujenga na Msichana
Mawasiliano ni muhimu katika kila uhusia...
Read More
Kama mama mjamzito atatumia dawa za kulevya basi humuathiri mtoto moja kwa moja. Mtoto aliye tumb...
Read More
Mazungumzo ni sehemu muhimu katika uhusiano wowote wa kimapenzi. Lakini kuna wakati mazungumzo ya...
Read More
Je, kuna tofauti za kihisia katika ngono/kufanya mapenzi? Ndio, kuna tofauti kubwa sana za kihisi...
Read More
No comments yet. Be the first to share your thoughts!