Kulambana sehemu za siri ni salama kiafya? Je, tendo hili ni la kawaida?
Date: April 17, 2022
Author: SW - Melkisedeck Shine
Si rahisi kusema ni kitendo kipi kilicho cha kawaida na kisicho cha kawaida. Kulamba ni jambo linalofanyika
na kama wahusika wote wanalipenda ni sawa. Inashauriwa kuosha sehemu za siri kabla ya kufanya hivyo. Kwa kufanya hivyo, yaani kunawa kunafanya tendo hili kufanyika katika hali ya usalama kiafya. KAMA wote mtakuwa wazima bila kuwa na maambukizi ya magonjwa ya zinaa hasa kisonono (gono).
Please log in or register to leave a comment or reply.
Related Posts
Jinsi ya Kuwa na Furaha na Msichana Wako
Kuwepo kwa mtu ambaye unampenda na kujali ni jamb...
Read More
Je, kuna tofauti za kihisia katika ngono/kufanya mapenzi? Ndio, kuna tofauti kubwa sana za kihisi...
Read More
Katika suala hili la UKIMWI hakuna tofauti yoyote kati ya
Albino na watu wengine katika jami...
Read More
๐Nifanyeje Kupata Msaada wa Kisaikolojia Kuhusu Masuala ya Ngono? ๐
Habari kijana! L...
Read More
Tunasema ngono kutumia njia ya haja kubwa pale ambapo uume uliodinda unaingizwa kwenye njia ya haja ...
Read More
Je, watu wanaamini nini katika kuongeza mchezo wa hisia wakati wa ngono/kufanya mapenzi?
Kufanya ...
Read More
Je, ngono/kufanya mapenzi ni sehemu muhimu ya uhusiano wa kimapenzi?
Kwa wengi, kufanya ma...
Read More
Kutumia dawa za kulevya kwa kiasi kidogo kunaweza kusilete madhara i ila mpaka tu pale utakapoyaz...
Read More
Kumwonyesha shukrani msichana wako ni njia moja ya kumfanya ajisikie muhimu na kupendwa. Kwa hiyo...
Read More
Afya ya uzazi inahusiana na mfumo wa uzazi wa mtu, na via
vya uzazi kwa watu. Kwa hali hiyo basi ina...
Read More
-
Anza kwa kujenga urafiki mzuri
Kabla ya kuwa na uhusiano wa kimapenzi, ni muhimu kujeng...
Read More
Bangi hupunguza mawazo kwa muda mfupi kwani huleta hisia za furaha na utulivu. Lakini hata hivyo ...
Read More
No comments yet. Be the first to share your thoughts!