Warning: Undefined variable $user_id in /home/ackyshine/list.ackyshine.com/sidebar.php on line 36
Sidebar with Floating Button
AckySHINE πŸ”
☰
AckyShine

Ujumbe kwa mabinti kuhusu uvaaji

Featured Image

Familia Kwanza: Wasichana wawili waliwasili kwenye Kikao huku wamevaa nguo ambazo zilikuwa zikionyesha miili yao.

Hiki ndo kitu ambacho Mwenyekiti wa kikao alichowaambia, aliwatazama kwa muonekano mzuri kisha akawataka wakae, kisha akawaambia jambo ambalo hawatoweza kusahau katika Maisha yao.

Aliwaangalia moja kwa moja katika macho yao, kisha akasema;

"Wasichana, kila kitu ambacho MUNGU amekiumba chenye thamani katika Dunia hii kimesitiriwa, na ni vigumu kukiona au kukipata.

1.Wapi unapoipata Almasi?
Ni chini kabisa ndani zaidi katika ardhi, na yamefunikwa na kuhifadhiwa humo

2. Wapi mnapoweza kuipata Lulu? Pia ni ndani zaidi kwenye kina kirefu zaidi katika Bahari, na yamehifadhiwa humo na kujificha ndani ya Sanamu zuri la Baharini

3. Wapi mnapoweza kuipata Dhahabu? napo pia ni ndani zaidi katika Migodi, na yamefunikwa juu na Ardhi za Miamba na ndio uyapate hapo. Yatupasa tufanye kazi ya ziada zaidi na tulime kwa undani zaidi ndipo tuyapate.

Kisha Mwenyekiti akawaangalia wale Mabinti kwa Jicho kali zaidi na kisha akawaambia;
"Miili yenu ni ya kuogopwa na ina thamani sana, na inazidi sana hata thamani ya Dhahabu, Almasi au Lulu. Na yawapasa muihifadhi zaidii.

Kama mtatunza Madini yenu kama ilivyotunzwa Almasi, Dhahabu na Lulu basi Makampuni yenye sifa nzur katika Jamii, Makampuni ya uhakika, Makampuni ya kuaminika yenye Mitambo mizuri yatatenga Muda wa miaka kadhaa katika kufanikisha kuyapata Madini hayo.

Kwanza itawapasa wawasiliane na Serikali (ambayo ndio familia yako) pia kusahihisha Mikatabata muhimu (ndoa) na mwisho ni Mgodi wenye dhana kubwa (ambayo ndiyo ndoa) lakini kama ukiacha madini yako yenye thamani nje hayajahifadhiwa katika uso wa Dunia basi utamvutia kila Mmoja (Mwanaume) na hasa wale ambao ni Wachimbaji haramu watakuja na kuchimba kiharamu (Zinaa), kwa hiyo kila mmoja atachukua kwa vifaa vilivyo na Makali na hivyo ndio watakavyokulima kirahisi.

Hivyo basi nawashauri hifadhini Miili yenu vizuri ili iwavutie wachimbaji wa halali (Waoaji) ndio wakukaribie upate kuheshimika

AckySHINE Solutions

Comments

Please log in or register to leave a comment or reply.

No comments yet. Be the first to share your thoughts!

Related Posts

Jinsi ya Kupanga Tarehe ya Kipekee na Msichana Wako

Jinsi ya Kupanga Tarehe ya Kipekee na Msichana Wako

Jinsi ya Kupanga Tarehe ya Kipekee na Msichana Wako

Kupanga tarehe ya kipekee na msichana ... Read More

Kukabiliana na Mazoea ya Kutowajali katika Familia: Kuweka Thamani ya Upendo na Ukarimu

Kukabiliana na Mazoea ya Kutowajali katika Familia: Kuweka Thamani ya Upendo na Ukarimu

  1. Familia ni sehemu muhimu ya maisha yetu. Katika familia, kuna wazazi, watoto, ndugu na ... Read More

Jinsi ya Kupanga na Kusimamia Wakati katika Familia: Ufanisi na Utulivu

Jinsi ya Kupanga na Kusimamia Wakati katika Familia: Ufanisi na Utulivu

Kupanga na kusimamia wakati katika familia ni muhimu sana. Kama unataka kuwa na familia yenye utu... Read More

Jinsi ya Kuelewa na kukabiliana na changamoto za kusaidia na kuwajali wanyama

Jinsi ya Kuelewa na kukabiliana na changamoto za kusaidia na kuwajali wanyama

Kama mpenzi wa wanyama, tunajua jinsi inavyokuwa muhimu kuwasaidia na kuwajali. Lakini, kuna nyak... Read More

Kuimarisha Intimiteti kupitia Kufanya Mapenzi: Jinsi ya Kujenga Ushirikiano wa Karibu

Kuimarisha Intimiteti kupitia Kufanya Mapenzi: Jinsi ya Kujenga Ushirikiano wa Karibu

Kuimarisha Intimiteti kupitia Kufanya Mapenzi: Jinsi ya Kujenga Ushirikiano wa Karibu

Kufa... Read More

Kujenga Ushirikiano wa Kimapenzi: Njia za Kupanua Uzoefu na Urahisi

Kujenga Ushirikiano wa Kimapenzi: Njia za Kupanua Uzoefu na Urahisi

Kujenga Ushirikiano wa Kimapenzi: Njia za Kupanua Uzoefu na Urahisi

  1. Kwanza kabis... Read More

Jinsi ya kujifunza na kukuza uhusiano wako na mke wako

Jinsi ya kujifunza na kukuza uhusiano wako na mke wako

Kujifunza na kukuza uhusiano wako na mke wako ni muhimu sana katika kudumisha ndoa yenye afya na fur... Read More
Jinsi ya Kuwa na Muda wa Kujifurahisha na Familia: Kuweka Kipaumbele cha Furaha

Jinsi ya Kuwa na Muda wa Kujifurahisha na Familia: Kuweka Kipaumbele cha Furaha

Karibu kwenye makala hii ambapo tunajadili jinsi ya kuwa na muda wa kujifurahisha na familia. Sik... Read More

Kukabiliana na Mazoea ya Kukosa Usawa katika Familia: Kuhamasisha Haki na Uadilifu

Kukabiliana na Mazoea ya Kukosa Usawa katika Familia: Kuhamasisha Haki na Uadilifu

Leo nataka kuzungumzia juu ya suala la kukabiliana na mazoea ya kukosa usawa katika familia na ku... Read More

Jinsi ya Kusaidia Watoto kujenga Ushirikiano na Marafiki: Kukuza Ujuzi wa Kijamii

Jinsi ya Kusaidia Watoto kujenga Ushirikiano na Marafiki: Kukuza Ujuzi wa Kijamii

Kujenga ushirikiano na marafiki ni muhimu sana kwa maendeleo ya mtoto. Watoto wanaojifunza ujuzi ... Read More

Jinsi ya Kuelewa na kushughulikia tofauti za mitazamo kuhusu jinsia na majukumu ya kijinsia

Jinsi ya Kuelewa na kushughulikia tofauti za mitazamo kuhusu jinsia na majukumu ya kijinsia

Ulimwengu wa leo ni tofauti sana na miaka ya nyuma, na kwa hiyo mawazo na mitazamo yetu juu ya ji... Read More

Jinsi ya Kushirikiana na mpenzi wako majukumu ya nyumbani na majukumu ya kifedha

Jinsi ya Kushirikiana na mpenzi wako majukumu ya nyumbani na majukumu ya kifedha

Kushirikiana na mpenzi wako katika majukumu ya nyumbani na majukumu ya kifedha ni muhimu katika kuje... Read More
πŸ“– Explore More Articles
🏠 Home πŸ“– Reading πŸ–ΌοΈ Gallery πŸ’¬ AI Chat πŸ“˜ About