Kwa nini mara nyingine uume hausimami?
Date: April 17, 2022
Author: SW - Melkisedeck Shine
Ili mwanaume aweze kujamii ana, ni lazima uume usimame na kuweza kupenya ukeni. Kama mvulana anasisimka kimapenzi, damu nyingi inaenda katika mishipa ya damu ndani ya uume. Halafu uume husimama kutokana na msukumo wa damu. Hivyo kama msukumo wa damu hautoshi, hii husababisha uume kutosimama au kusimama kwa unyonge.
Kutokuwa na msisimko wa kutosha kwa ajili ya kusimamisha uume kunaweza kusababishwa na mambo mengi, mojawapo ni i i ile hali ya kutokuwa tayari kwa kujamii ana, kuwa na wasiwasi mwingi, kutompenda mpenzi wako, ulevi wa pombe au dawa za kulevya, kuvuta sigara, lishe duni au maradhi mbalimbali.
Kama una shida ya uume kutosimama wakati wa kujamii ana, jaribu kuangalia ni sababu zipi kati ya hizi zilizoorodheshwa juu zingeweza kuwa sababu kuu ya shida yako. Halafu, jaribu kurekebisha matatizo.
Please log in or register to leave a comment or reply.
Related Posts
Mapenzi ni sehemu muhimu katika maisha ya binadamu na inaweza kuwa njia ya kujifunza, kufurahia, ...
Read More
Kama kijana akinusa au kuvuta petroli kupitia puani au mdomoni, petroli hiyo huingia kwenye mapaf...
Read More
Nifanyeje Kukabiliana na Hisia za Kutotaka Kufanya Ngono? π
Leo, ningependa kuzungumza ...
Read More
Wanaume mara nyingi huambukizwa sehemu za mrija wa mkojo. Katika sehemu hizi ni rahisi kusikia mw...
Read More
Ndiyo, utaweza kuvipata virusi vya UKIMWI. Uwezekano wa kuambukizwa hautegemei umri wa mpenzi wak...
Read More
Katika mazingira fulani, baba anapomuona mtoto ana ngozi
nyeupe anakataa ya kwamba mtoto si ...
Read More
Neno VVU ni i virusi au vijidudu vinavyosababisha ugonjwa wa UKIMWI. Neno hili kwa lugha ya Kii nger...
Read More
Karibu ndugu yangu kwenye makala hii ambao inazungumzia njia mbalimbali ambazo utaweza kutumia ku...
Read More
Jinsi ya Kujenga Uaminifu katika Uhusiano wako na Msichana
Katika uhusiano wowote, uaminif...
Read More
Kama mpenzi wako hatakuwa na maambukizi ya magonjwa ya zinaa hakuna madhara ya kiafya. kama shaha...
Read More
-
Anza kwa kujenga urafiki mzuri
Kabla ya kuwa na uhusiano wa kimapenzi, ni muhimu kujeng...
Read More
Kwa nini inapendekezwa Kufanya Ngono na Mtu Mmoja Tu? π
Karibu vijana wenzangu! Leo tut...
Read More
No comments yet. Be the first to share your thoughts!