Je, kuharibika mimba kunasababishwa na nini?
Date: April 17, 2022
Author: SW - Melkisedeck Shine
Asimilia kumi hadi i i ishirini ya mimba huharibika. Mimba nyingi zinaharibika katika kipindi cha wiki 12 za mwanzo wa ujauzito. Sababu kuu hutokana na kuharibika kwa yai lililotungwa mimba. Iwapo yai lingeendelea kukua katika hali hii matokeo ni mtoto kuzaliwa na kasoro mwilini au kiakili. Kwa hiyo mimba kuharibika inaweza kuwa ni njia ya asili ya mwili kukabiliana na matatizo hayo ya kimaumbile.
Vilevile kuharibika kwa mimba huweza kutokea kama mama ana magonjwa kama malaria au kaswende, kama ameanguka chini kwa nguvu au kama ana matatizo kwenye via vya uzazi. Dalili za mimba kuharibika ni damu kutoka ukeni na maumivu makali ya tumbo kwa chini.
Please log in or register to leave a comment or reply.
Related Posts
Maana halisi ya neno βbikiraβ ni mwanamke au mwanaume ambaye hajawahi kabisa kujamii ana. Kuj...
Read More
Balehe ni kipindi cha mpito kati ya utoto na utu uzima, ambapo watoto wa ki...
Read More
Hii siyo kweli,
tofauti
baina ya Albino
na mtu a s i
ekuwa na ualbino
i ...
Read More
Kuna sababu kuu mbili i kwa wana ndoa kupata maambukizi i ya Virusi vya UKIMWI na UKIMWI.
Kw...
Read More
Katika miezi sita ya mwanzo baada ya kujifungua, mwanamke anayenyonyesha mtoto anapata kinga ya m...
Read More
Habari yako rafiki! Leo, ningependa kuzungumza nawe kuhusu umuhimu wa kuwa na uelewa wa afya ya u...
Read More
Jinsi ya Kukabiliana na Hisia za Aibu Kuhusu Ngono π
Karibu vijana wenzangu! Leo, tutaj...
Read More
Watu wengi huwaona Albino kama watu tofauti na watu wengine
na kuwakwepa, wanaweza hata kuba...
Read More
Unaweza ukajaribu kuzungumza na wazazi wako kwamba
ukeketaji ni desturi mbaya, na pia unawez...
Read More
Nifanyeje Kukabiliana na Hisia za Kubaguliwa Kuhusiana na Ngono? π
Habari rafiki! Leo t...
Read More
Hakuna kitu kizuri kama kuwa na tarehe ya kufurahisha na msichana wako. Iwe ni siku ya kuzaliwa, ...
Read More
Kuishi kwa kushindwa kuona sawasawa ni changamoto ya
msingi waliyonayo Albino, inaathiri eli...
Read More
No comments yet. Be the first to share your thoughts!