Warning: Undefined variable $user_id in /home/ackyshine/list.ackyshine.com/sidebar.php on line 36
Sidebar with Floating Button
AckySHINE ๐Ÿ”
โ˜ฐ
AckyShine

Unyanyasaji wa kijinsia

Featured Image
Kuna aina nyingi za unyanyasaji wa jinsia na unaweza kutokea kwa wote wanaume na wanawake. Kwa kawaida unajulikana kama matumizi ya makusudi ya kutumia nguvu na uwezo na kutishia au kwa hali halisi kinyume cha mtu au kikundi au jamii ambapo matokeo yake yanaweza kuleta jeraha au kifo, kuumia kisaikilojia, kutokukua au kudumaa.7 Chini ya sheria za Tanzania8 unyanyasaji wa kijinsia ni pamoja na maneno, sauti ishara au maonyesho ya sehemu za mwili kwa makusudi kinyume na matakwa ya mtu. Hakuna mtu anayeruhusiwa kujamiiana nawe bila ya ridhaa yako, maana hii itakuwa ni ubakaji. Kumlazimisha mtu kujamiiana nawe kwa kubadilishana na zawadi au kumpa kazi ni unyanyasaji wa kijinsia. Kadhalika hakuna mtu anayeruhusiwa kushika viungo vya siri vya uzazi, au kukupiga busu bila ya ridhaa yako. Tendo la ukeketaji ni aina nyingine ya ukatili wa kijinsia. Aina nyingine za unyanyasaji wa kijinsia ni pamoja na kumwita mtu majina, kumlazimisha mtu kuvua nguo mbele za watu au kumlazimisha mtu kujamiiana na mtu mwingine. Fikiria kwamba unyanyasaji wa kijinsia ni tendo baya kwa haki za binadamu na unasababisha maumivu kwa wahusika. Tukumbuke kwamba uhusiano wa kimapenzi na watu waliokaribu nasi kwa mfano baba, mama, kaka, dada, babu au bibi ni aina nyingine ya unyanyasaji wa jinsia. Inajulikana kama kujamiiana kwa maharimu โ€œincestโ€œ na inakatazwa kisheria.
AckySHINE Solutions

Comments

Please log in or register to leave a comment or reply.

No comments yet. Be the first to share your thoughts!

Related Posts

Jinsi ya Kuwa na Tarehe ya Kipekee na Ya Kusisimua na Msichana

Jinsi ya Kuwa na Tarehe ya Kipekee na Ya Kusisimua na Msichana

Kila mwanaume anataka kuwa na tarehe ya kipekee na ya kusisimua na msichana. Lakini, wakati mwing... Read More

Kumbadilisha mtu aliyeathirika na dawa za kulevya

Kumbadilisha mtu aliyeathirika na dawa za kulevya

Endapo rafiki au jamaa anaomba msaada wa kuacha kutumia dawa za kulevya unaweza kumsaidia kwa kum... Read More

Ukweli kuhusu albino

Ukweli kuhusu albino

  1. Je, ualbino unaambukiza? โ€ฆโ€ฆโ€ฆ.. Hapana
  2. Ualbino ni ugonjwa? โ€ฆโ€ฆโ€ฆ..HapanaRead More
Ni katika umri gani vijana wana haki ya kujihusisha na mambo ya kujamiiana?

Ni katika umri gani vijana wana haki ya kujihusisha na mambo ya kujamiiana?

Kujamiiana ni uamuzi wa mtu binafsi. Ni uamuzi wako na hakuna
mtu yeyote mwenye haki ya kuku... Read More

Jinsi ya Kuanzisha Mazungumzo ya Kwanza kuhusu Ngono na Mpenzi Wangu

Jinsi ya Kuanzisha Mazungumzo ya Kwanza kuhusu Ngono na Mpenzi Wangu

Jinsi ya Kuanzisha Mazungumzo ya Kwanza kuhusu Ngono na Mpenzi Wangu ๐ŸŒผ

Karibu sana kwen... Read More

Je, Ni Vipi naweza Kuepuka Kufanya Ngono Kwa Sababu ya Kubembelezwa?

Je, Ni Vipi naweza Kuepuka Kufanya Ngono Kwa Sababu ya Kubembelezwa?

Je, Ni Vipi naweza Kuepuka Kufanya Ngono Kwa Sababu ya Kubembelezwa? ๐Ÿ˜Š

Karibu vijana wa... Read More

Kwa nini sio Sahihi Kufanya Ngono na Mtu Mmoja wa Marafiki?

Kwa nini sio Sahihi Kufanya Ngono na Mtu Mmoja wa Marafiki?

Kwa nini sio Sahihi Kufanya Ngono na Mtu Mmoja wa Marafiki? ๐ŸŒธ๐Ÿ’”

Jambo zuri siku zote ... Read More

Njia za Kuwa na Uhusiano Wenye Furaha na Msichana

Njia za Kuwa na Uhusiano Wenye Furaha na Msichana

Leo, tutajadili njia za kuunda uhusiano mzuri na wa furaha na msichana. Kuwa na uhusiano mzuri na... Read More

Je, kuna umuhimu wa kujadili kuhusu upendeleo wako wa ngono/kufanya mapenzi katika uhusiano?

Je, kuna umuhimu wa kujadili kuhusu upendeleo wako wa ngono/kufanya mapenzi katika uhusiano?

Upendeleo wa ngono na kufanya mapenzi ni jambo muhimu katika mahusiano yetu ya kimapenzi. Inapasw... Read More

Ubikira ni nini?

Ubikira ni nini?

Maana halisi ya neno โ€œbikiraโ€ ni mwanamke au mwanaume ambaye hajawahi kabisa kujamii ana. Kuj... Read More

Jinsi ya Kuzungumza na Mwenzi Wangu kuhusu Kujikinga na Mimba

Jinsi ya Kuzungumza na Mwenzi Wangu kuhusu Kujikinga na Mimba

Jinsi ya Kuzungumza na Mwenzi Wako kuhusu Kujikinga na Mimba

Karibu sana marafiki zangu! L... Read More

Vidokezo vya Kufanya Msichana Aonekuwa Muhimu katika Maisha Yako

Vidokezo vya Kufanya Msichana Aonekuwa Muhimu katika Maisha Yako

Mwanamke ni hazina kubwa katika maisha ya kila mwanaume. Ni kiumbe chenye thamani, cha thabiti na... Read More

๐Ÿ“– Explore More Articles
๐Ÿ  Home ๐Ÿ“– Reading ๐Ÿ–ผ๏ธ Gallery ๐Ÿ’ฌ AI Chat ๐Ÿ“˜ About