Kama watu wanataka kuacha kuvuta sigara au kunywa pombe wafanyeje?
Date: April 15, 2022
Author: SW - Melkisedeck Shine
Kwanza kabisa, watu ni kweli wawe wamedhamiria kuacha.
Hii inataka uamuzi wa wazi na nia imara kwa sababu si rahisi
kuacha.
Pili, mtu anatakiwa kufikiria ni katika mazingira gani huwa
anajisikia kuvuta sigara au kunywa pombe. Hii kwa kawaida ni
pamoja na kundi maalumu la marafiki, katika sherehe, baada ya
kazi ngumu, baada au wakati wa kula. Kwa hiyo, kama wanataka
kuacha kuvuta sigara au kunywa pombe, wanatakiwa kubadili
mtindo wa maisha na kuepuka vishawishi.
Hatua ya kwanza katika kuacha kuvuta sigara au kunywa
pombe, inaweza ikawa ni kujiwekea malengo; kwa mfano, kuacha
kuvuta sigara kwa wiki nzima. Jipongeze kuwa umetimiza lengo
lako. Kama umeshindwa anza tena. Ni watu wachache ambao
wameweza kuacha kabisa katika jaribio la kwanza. Watu
wengine wanapata ugumu kuacha kabisa pombe na sigara.
Please log in or register to leave a comment or reply.
Related Posts
Kila mwanamume anapenda kukutana na msichana ambaye anaweza kuwa rafiki wa karibu na kuwa na uhus...
Read More
Watu wanaweza kuvumisha uongo wowote ili kupotosha
ukweli na kufanya mambo yao maovu wanayoy...
Read More
Je, kuna umuhimu wa kujadili masuala ya usalama na faragha katika ngono/kufanya mapenzi?
H...
Read More
Jinsi ya Kuepuka Kuingiliwa na Maswala ya Ngono katika Uhusiano
Karibu kwenye makala hii a...
Read More
Watu wanaohitaji kupewa uangalizi maalumu wanaweza
kuonekana ni mzigo kwa kuwa wanaweza waka...
Read More
Ngozi ya Albino haina jinsi ya kujilinda na mionzi ya jua. Inaungua
sana baada ya kupatwa na...
Read More
Karibu kwenye makala hii kuhusu swali la iwapo inawezekana kujisikia huru kuelezea tamaa zako za ...
Read More
Nifanyeje Kujielewa na Kuelewa Thamani yangu katika Mahusiano ya Ngono? π
Asante kwa ku...
Read More
Habari za leo rafiki yangu! Leo tutazungumzia jambo muhimu sana kwenye uhusiano wa mapenzi, ambal...
Read More
Kujadili haki na usawa wa kijinsia katika ngono/kufanya mapenzi ni muhimu sana katika jamii yetu....
Read More
Kama kati ya mwanamke na mwanaume hakuna mwenye magonjwa ya zinaa, hakuna madhara yoyote kwa mwan...
Read More
Mapaja na nyonga ni sehemu ya mwili i i iliyo karibu na viungo vya uzazi vya mwanamke. Kwa sababu...
Read More
No comments yet. Be the first to share your thoughts!