Je, sigara ni sumu kwa binadamu?
Date: April 15, 2022
Author: SW - Melkisedeck Shine
Ndiyo. Nikotini iliyo kwenye tumbaku ni sumu. Ukiwa na kiwango
kikubwa cha nikotini katika damu utajisikia kichefuchefu,
kutapika, kujaa kwa mate mdomoni, maumivu ya sehemu za
chini ya tumbo, kuharisha, na kujihisi dhaifu. Dalili nyingine
ni kuumwa na kichwa, kizunguzungu, kuongezeka kwa mapigo
ya moyo, kupata shinikizo la damu, kutetemeka na kutokwa na
jasho baridi. Nikotini nyingi inaweza kusababisha ukosefu wa
umakini na pia ukosefu wa usingizi.
Please log in or register to leave a comment or reply.
Related Posts
Katika swali hili lazima tutofautishe kati ya kutoa damu na kuwekewa damu. Kutoa damu hakuleti ha...
Read More
Kutoa zawadi kwa mtu kwa kubadilishana ili kujamiiana
ni unyanyasaji mbaya. Iwapo mpokeaji w...
Read More
Watoto hawatakiwi kunywa pombe wala kuvuta sigara!
Watoto hasa ndio wapo katika hatari zaid...
Read More
Mtoto wa kike anapenda mambo mazuri na ya kipekee, kwa hivyo ikiwa unataka kumvutia msichana kwa ...
Read More
Pombe zinazotengenezwa kiwandani zinafuata viwango
ambavyo ubora wake umethibitishwa kihalal...
Read More
Kutumia manjonjo na manukato wakati wa ngono/kufanya mapenzi ni mada ambayo ina debate kubwa. Wap...
Read More
Hapana. Albino wote hawafanani, wanatofautiana kufuatana na
kiasi cha melanini walicho nacho...
Read More
Kuheshimu tofauti za kijinsia wakati wa ngono/kufanya mapenzi ni jambo muhimu sana. Kila mtu anap...
Read More
Kama mwanamume, ni muhimu sana kujenga uaminifu na msichana katika uhusiano wako. Njia hii itakus...
Read More
Je, mimba hupatikanaje?
Ukitaka kuelewa jinsi mimba i inavyopatikana, lazima uelewe mzung...
Read More
Mara nyingi utunguaji mimba nje ya mfuko wa uzazi hutokea kwa sababu ya maradhi kwenye via vya uz...
Read More
Habari yako rafiki! Leo, ningependa kuzungumza nawe kuhusu umuhimu wa kuwa na uelewa wa afya ya u...
Read More
No comments yet. Be the first to share your thoughts!