Namna ya kukabiliana na Magonjwa ya kuku
Date: December 26, 2020
Author: SW - Melkisedeck Shine
Hakikisha unamuona mtaalamu wa mifugo mara uonapo dalili zozote za kuumwa kwa mifugo wako.
Tenga na wapatie tiba au kuwaua na kuteketeza kabisa kuku wagonjwa kuepuka kuenea kwa magonjwa.
Ondoa ndege waliokufa mara moja, uwafukie au kuchoma moto. Usile kuku aliekufa. Baadhi ya magonjwa ya ndege yanaweza kuambukizwa kwa binadamu.
Endapo kuna mlipuko wa ugonjwa katika eneo lako, usiruhusu watu kutembelea banda lako. Watu wanaweza kuleta maambukizi kwa miguu yao katika mabuti, nguo na mikono.
Pia magari yanaweza kuleta madhara kwa mabanda yako kupitia matairi na upakuaji wa mizigo.
Please log in or register to leave a comment or reply.
Related Posts
Kilimo cha Parachichi nacho kinalipa ukilima.
Kutifua udongo ni jambo la muhimu sana ili kuufanya udongo kuwa bora.
<...
Read More
Vitungu saumu vina manufaa sana katika kukabiliana na aina mbalimbali za wadudu waharibifu na baadhi...
Read More
Huu ni ugonjwa hatari sana kwa maisha ya binadamu. Kinyesi cha punda kinabe...
Read More
Maharagwe yanapandwa kwenye kabichi yanafanya kazi zifuatazo;
Kudhibiti wadudu (...
Read More
Mbolea ya mboji hutokana na mabaki ya majani na miti. Majani na miti yanapooza hugeuka na kutenge...
Read More
Ili kulima tikiti maji, inakubidi uwe na sehemu ya kutosha, yenye jua la kutosha, maji mengi na a...
Read More
Mbolea ya kunyunyiza ni nzuri kwani inasaidia kuupa mmea virutubisho moja kwa moja kupitia kwenye...
Read More
Jinsi wigo wa mimea kwenye shamba unavyoweza kukinga mazao yako na wadudu waha...
Read More
Utangulizi
Mbaazi ni zao la chakula ambalo pia linaweza kulimwa kama zao la bi...
Read More
Ngโombe wa maziwa wanahitaji virutubisho zaidi ili kuweza kuzalisha maziwa kwa wingi hasa katika k...
Read More
No comments yet. Be the first to share your thoughts!