Warning: Undefined variable $user_id in /home/ackyshine/list.ackyshine.com/sidebar.php on line 36
Sidebar with Floating Button
AckySHINE ๐Ÿ”
โ˜ฐ
AckyShine

Kali za leo: Misemo ya kuchekesha na kuvunja mbavu

Featured Image

1. Ati wee ni m-black mpaka ukiingia kwa dinga(gari), dirisha zinakuwa tinted!

2. Kwenu kuchafu mpaka mende zinatema mate.

3. Vile wewe mfupi, ukipiga picha ya passport inatokea full.

4. Ati(house) yenu ina gate lakini hakuna fence.

5. Baba alienda ku buy ngombe akaona ikikojoa akasema sitaki hiyo imetoboka.

6.Wee mblack mpaka ukikutana na mzungu afternoon anakusalimia: Good evening.

7. Mko wengi kwa house mpaka kuna rush hours na kukinyesha kunakuwa na jam.

8. Paka yenu noma mpaka ikishika panya inaomba chumvi, fork na pilipili.

9. We ni mrefu mpaka ukikunywa maziwa inafika kwa tumbo ikiwa mgando.

10.Wewe ni mweusi ukikanyanga makaa unawacha footprint nyeusi.

11. Kwenyu mkikunywa maji mnaitisha toothpick

12. We ni mbishi hadi ulikataa kuzaliwa uchi

13. Kwenu kuna insecurity ikifika usiku hadi geti mnaingiza ndani

14. Kwenu ni wengi sana hadi mmeweka round about ndani.

15. Wewe ni mlafi hadi maji uliyochemshia mayai unayafanya supu.

16. We ni mjinga sana hadi blood test ulifeli.

17. Una chogo refu hadi ukigeuka haraka unaweza kuliona.

18. Una kichwa kikubwa hadi ukiingia kwenye daladala konda anakwambia "abiria usiingie na mizigo, tunaweka juu kwenye carrier

AckySHINE Solutions

Comments

Please log in or register to leave a comment or reply.

No comments yet. Be the first to share your thoughts!

Related Posts

Angalia kilichotokea baada ya dogo kupewa ada na kuitumia kubeti

Angalia kilichotokea baada ya dogo kupewa ada na kuitumia kubeti

Dogo kampigia simu baba yake;
DOGO: Baba katika zile shilingi laki mbili ulizonipa
nika... Read More

Utani wa wahindi, cheka kidogo

Utani wa wahindi, cheka kidogo

Mhindi afaulu mtihani wa Kiswahili

(1) Mfa maji ?โ€ฆโ€ฆโ€ฆโ€ฆโ€ฆโ€ฆ.. Tampa life jacket.Read More

Vichekesho vya kukuondoa mawazo leo

Vichekesho vya kukuondoa mawazo leo

Soma vichekesho hivi;

Mwizi wa atm

Jamaa aliibiwa kadi yake ya benk akaulizwa kama ... Read More

Angalia huyu boyfriend alivyomuweza huyu msichana wake

Angalia huyu boyfriend alivyomuweza huyu msichana wake

Siku moja msichana alikuwa anapita maeneo ya A.T.M gafla akamuona boyfriend wake anatoa pesa kwenye ... Read More
Jinsi nilivyogundua kuwa nina kipaji leo

Jinsi nilivyogundua kuwa nina kipaji leo

LEO NIMEPITA MTAA FULANI NIKAKIMBIZWA NA MBWA, NDIO NIKAJUA NINA KIPAJI KINAPOTEA TUโ€ฆโ€ฆโ€ฆ

... Read More
Njia 3 rahisi za kuondoa kitambi

Njia 3 rahisi za kuondoa kitambi

JE, una KITAMBI na unataka kukiondoa?

FANYA HAYA;

1. Kopa mkopo mkubwa benkiRead More

Sababu za kumuacha mke kama umemchoka

Sababu za kumuacha mke kama umemchoka

Ukimchoka mkeo, waweza kumtaftia sababu za kumuacha kama hizi

_
1. Mi... Read More

Acha usumbufuโ€ฆ

Acha usumbufuโ€ฆ

UNAMNG'ANG'ANIZA MPENZI WAKO AKUWEKE KWNY PROFILE PICHA MLOPIGA PAMOJA

HIVI ULIDHANI MWL.NY... Read More

Cheki kilichonipata sasa, ungekua wewe ungefanyaje?

Cheki kilichonipata sasa, ungekua wewe ungefanyaje?

Siku moja ... Read More

Hii ndio ndoto ya harusi ya kila msichana anayotamani

Hii ndio ndoto ya harusi ya kila msichana anayotamani

GIRL: Baby, hebu niambie harusi yetu itakuwaje? BOY: Yaani hii haijawahi kushuhudiwa, ngoja nikupe k... Read More
Maisha ya Pwani ni Shidaaaaah

Maisha ya Pwani ni Shidaaaaah

๐Ÿ˜†๐Ÿ˜† ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Jamaa kagombana na mkewe, akasusa kula๐Ÿฝ๐Ÿจ kurudi kazini ka... Read More

Cheka kidogo, angalia anachosema huyu mchaga

Cheka kidogo, angalia anachosema huyu mchaga

Mchaga baada ya kufa akaulizwa na malaika anayetoa roho: Mangi hapa ni njiapanda kulia ni Mbingun... Read More

๐Ÿ“– Explore More Articles
๐Ÿ  Home ๐Ÿ“– Reading ๐Ÿ–ผ๏ธ Gallery ๐Ÿ’ฌ AI Chat ๐Ÿ“˜ About