Log in to access your menu with tools for managing π tasks, π₯ clients, π° finances, π learning, π personal growth, and π spirituality, all in one place!.
Updated at: 2024-05-23 14:34:19 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
MIKUNJO katika ngozi ni miongoni mwa matatizo yanayowakabili wanawake wengi. Tofauti na mikunjo ya uzee, mikunjo hii hutokana na kuchoka kwa ngozi kunakosababishwa na mambo mablimbali. Katika kupambana na tatizo hilo, wadau wa urembo wa asili wamegundua njia mbalimbali zinazoweza kutumika kutatua tatizo hili.
Updated at: 2024-05-23 14:34:18 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Tunda la kitropiki la papai lina vitamini C na E likiwa na siri kubwa ya urembo na hutumika kutengeneza facial za aina mbalimbali. Papai limekuwa likitumiwa kama njoia boya ya kutunza uso wako na kumfanya mtu kuwa na ngozi ya asili.
Jinsi ya kuondoa weusi kwenye magoti na viwiko vya mikono
π β
Available in PDF
Updated at: 2024-05-23 14:34:20 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Ngozi nyeusi katika magoti na nyuma ya mikono hutokana na mkusanyiko wa cells zilizokufa, na hata unavyoweka pressure kwenye magoti na vipepsi vya mikono yako. Kama ukiwa unaweka mikono kwenye meza ukiwa kazini, ule msuguano unafanya ngozi iwe nyeusi.