Log in to access your menu with tools for managing π tasks, π₯ clients, π° finances, π learning, π personal growth, and π spirituality, all in one place!.
Updated at: 2024-05-23 14:34:18 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Tunda la kitropiki la papai lina vitamini C na E likiwa na siri kubwa ya urembo na hutumika kutengeneza facial za aina mbalimbali. Papai limekuwa likitumiwa kama njoia boya ya kutunza uso wako na kumfanya mtu kuwa na ngozi ya asili.
Updated at: 2024-05-23 14:34:18 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Makovu sio kidonda naomba hili uelewe, ila makovu ni alama ya majeraha ambayo yamebaki kwenye ngozi baada ya kupona majeraha. Kuna baadhi ya watu husumbuliwa na shida ya kuwa na makovu sehemu mbalimbali ya mwili. Hivyo kama wewe ni miongoni mwao maandishi haya yanakuhusu sana.
Updated at: 2024-05-23 14:34:18 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Kuna urembo mbalimbali wa macho kulingana na taste ya mtu na mapendeleo yake . Leo nitazungumzia "smoky eyes" au macho yaliyapambwa kwa eye liner, mascara na eye shadows zenye rangi nyeusi, grey au za mng'aro.
Vipodozi Visivyo Salama/Vilivyopigwa Marufuku Na Madhara Yake
π β
Available in PDF
Updated at: 2024-05-23 14:34:19 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Vipodozi visivyo salama ni vipodozi ambavyo vina kemikali zinadhuru au zinazoweza kuudhuru mwili na kuusababishia matatizo. Maana hii inaweza kuongezewa na kujumuisha vipodozi vyote ambavyo usalama wake unatia mashaka na vinaweza kuleta madhara kwa mtumiaji.